ISSN 0856-0323 MWAKA WA 92 26 Agosti, 2011 TOLEO NA. 34 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Linatolewa kwa idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama Gazeti YALIYOMO Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk. Kuajiriwa na Kukabidhiwa 67 Designation of Land for 72 Madaraka………………………..Na.661 Investment Purposes.Na…...683 Notice re Supplement…………Na.662 68 Makampuni yualiyofutwa katika 72 Daftari la Makampuni…Na.684 Kupotea kwa Hati za Kumiliki 68/71 Extracts of Minutes of the Extra 73 Ardhi………………...……….Na.663-79 Ordinary Meeting……..Na.685-6 Kupotea kwa Leseni ya 71 Uthibitisho na Usimamizi wa 73/4 Makazi………………………Na.680 Mirathi…Na.687-90 Kufutwa kwa Leseni ya 72 Change of Name by Deed 74/5 Makazi………………………Na.681 Poll…………..Na.691-2 Kupotea kwa Barua ya 72 Inventory of Unclaimed 75 Toleo…..Na.682 Property…………………...Na.693 KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA TAARIFA YA KAWAIDA NA.661 Ofisi ya Rais,Menejimenti ya Utumishi wa KUAJIRIWA: Umma: Kuanzia tarehe 01/01/2010: UTEUZI: Kuwa Maafisa Utumishi Daraja la II: BW.GIBSON J. MAYANI Kuanzia tarehe 01/12/2010 BI.SALOME C. KESSY Kuwa Wakurugenzi Wasaidizi: BIBI MARY K. KINYAWA Kuanzia tarehe 01/06/2010: BIBI LOYCE LUGOYE Kuwa Maafisa Utumishi Daraja la II: BIBI JANE D. KAJIRU BI.MAGRETH NGONDYA BW.ELISANTE M. MBWILO BI.SUZAN LYAKUNDI BW.MATHEW M. KIRAMA BW.RAPHAEL WAIDA Kuajiriwa na kukabidhiwa madaraka (inaendelea tazama ukurasa wa 76):