A Laws.Africa project
9 September 2011

Tanzania Government Gazette dated 2011-09-09 number 36

Download PDF (5.6 KB)
Coverpage:
                            ISSN 0856-0323

MWAKA WA 92                     9 Septemba, 2011


TOLEO NA. 36      GAZETI
              LA
       JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

     Linatolewa kwa idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama
                   Gazeti

                   YALIYOMO
  Taarifa ya Kawaida        Uk.    Taarifa ya Kawaida       Uk.

Kuajiriwa na Kukabidhiwa 5        Ardhi………………….Na.713        9
Madaraka……………..Na.700
Notice         re 6        Kampuni    Zilizobadilishwa  9/10
Supplement……………….Na.701          Majina……………...Na.714-7
Tanzia………………………….     6        Muunganisho         wa  10
                      Wadhamini……………Na.718
Taarifa  ya  Kusudio    la 24/7   Uthibitisho na Usimamizi wa    10/1
Kuhawilisha Ardhi ya Kijiji kuwa      mirathi……………..Na.719-21      1
ya Kawaida au Ardhi ya
Uhifadhi………………Na.702
Kupotea kwa Hati za Kumiliki 7/8      Taarifa ya Kunyofolewa kwa    11
Ardhi…………………Na.703-9            Nakala halisi tatu ambazo
                      Hazijatumika…………..Na.722
Kupotea kwa Leseni  ya 9         Notice to the General Public of  11
Makazi………………Na.710-12           Resolution  to  Wind   Up
                      Voluntarily………..……Na.723
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya       Change of Name by Deed      11/1
Kumiliki                  Poll………………..….Na.724-5      2
        KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA

                      Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi:
TAARIFA YA KAWAIDA NA.700
                     Kuanzia tarehe 01/08/1992:
Wizara ya Mambo ya      Nje   na Kuwa Askari wa Zimamoto na Uokoaji:
Ushirikiano wa Kimataifa:         NDUGU EBERHART K. NDOMBA

Kuanzia tarehe 01/07/2009:         Kuanzia tarehe 05/11/2007:
Kuwa Afisa Mambo ya Nje Daraja la I:    NDUGU DEUSDEDIT L. NDUMBARO
BW.MBELWA B. KAIRUKI            NDUGU DAI A. MATILINGA
                      NDUGU BUPE F. MLAWA
KUPANDISHWA CHEO:             NDUGU JUDITH A. NCHIMBI
                      NDUGU JOSEPH K. WARUGI
Kuanzia  tarehe   02/06/2011:Kuwa
Mhasibu Daraja la II:         Kupandishwa Cheo inaendelea tazama
BIBI MWAJABU I. HASSAN        ukurasa wa 12)


(Download complete gazette PDF)