ISSN 0856-0323 MWAKA WA 92 16 Septemba, 2011 TOLEO NA. 37 GAZETI LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA Linatolewa kwa idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama Gazeti YALIYOMO Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa ya Kawaida Uk. Notice re Supplement….Na.726 15 Wizara ya Ardhi,Nyumba na 25/7 Maendeleo ya Makazi-Sheria ya Utwaaji Ardhi……….…..Na.734-9 In the Court of Appeal at 16/2 Taarifa ya Kusudio la 28/3 Mtwara,Arusha and 4 Kuhawilisha Ardhi ya Kijiji kuwa 0 Mwanza…………..……..Na.727-9 Ardhi ya Kawaida……Na.740-3 Kupotea kwa Hati za Kumiliki 25 Uthibitisho na Usimamizi wa 30 Ardhi……….……………Na.730-2 Mirathi…………………..Na.744-5 Kupotea kwa Leseni za 24/7 Makazi………………..……Na.733 TAARIFA YA KAWAIDA NA.726 Sheria Ndogo za (Hifadhi ya Mazingira) za Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha za Notice is hereby given that Sheria mwaka 2011 (Tangazo la Serikali Ndogho,Orders,Regulations and an Na.292 la mwaka 2011) Instrument as set out below have been issued and are published in Subsidiary Sheria Ndogo za (Usafi wa Mazingira) za Legislation Supplement No.31 dated Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha za 16th September,2011 to this number of mwaka 2011 (Tangazo la Serikali the Gazette: Na.293 la mwaka 2011) Sheria Ndogo za (Ada na Ushuru) za Sheria Ndogo za (Ushuru wa Vibao vya Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha za Matangazo ya Biashara) za Halmashauri mwaka 2011 (Tangazo la Serikali ya Wilaya ya Kibaha za mwaka 2011 Na.289 la mwaka 2011) (Tangazo la Serikali Na.294 la mwaka 2011) Sheria Ndogo za (Ushuru wa Minada ya Mifugo) za Halmashauri ya Wilaya ya Sheria Ndogo za (Ushuru wa Madini ya Kibaha za mwaka 2011 (Tangazo la Ujenzi) za Halmashauri ya Wilaya ya Serikali Na.290 la mwaka 2011) Kibaha za mwaka 2011 (Tangazo la Serikali Na.2945la mwaka 2011) Sheria Ndogo za (Kilimo cha Mazao ya Chakula na Biashara) za Halmashauri ya Sheria Ndogo za (Uanzishaji wa Bodi ya Wilaya ya Kibaha za mwaka 2011 Mfuko wa Elimu) za Halmashauri ya (Tangazo la Serikali Na.291 la mwaka Wilaya ya Kibaha za mwaka 2011 2011) (Tangazo la Serikali Na.296 la mwaka 2011)