A Laws.Africa project
7 October 2011

Tanzania Government Gazette dated 2011-10-07 number 40

Download PDF (5.5 KB)
Page 1
                             ISSN 0856-0323

 MWAKA WA 92                     7 Oktoba, 2011


 TOLEO NA. 40        GAZETI
                  LA

        JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

      Linatolewa kwa idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama
                    Gazeti


                  YALIYOMO
  Taarifa ya Kawaida      Uk.     Taarifa ya Kawaida        Uk.

Kuajiriwa   na  Kukabidhiwa 1Kupotea   kwa   Leseni ya  2
Madaraka…………….….Na.805      Makazi………………………..Na.809
Notice re Supplement……..Na.806 2 Deni,Kudai          au  2
                 Kudaiwa…………………..Na.810-1
Tanzia……………………………      2  Sheria   ya   Utwaaji  wa 3/8
                 Ardhi……………….……Na.812-25
Kupotea kwa Hati za Kumiliki 2  Usimamizi          wa  9
Ardhi…………………...Na.807-8     Mirathi…………………….Na.826-9
                 Deed  Poll  on  Change of 10
                 Name…………………………Na.830
       KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA

                    Kuwa Katibu Muhtasi I:
TAARIFA YA KAWAIDA NA.805       JOYCE MARIKI
Ministry   of   Energy  and  FLORA KISENA
Minerals:Tanzania   Minerals Audit
Agency (TMAA)             Kuwa Principal Tax Officer:
Kuanzia tarehe 02/05/2011:       VENANCE KASIKI
Kuwa Dereva:
ALEX GEORGE MADEMBWE          Kuwa Financial Analyst I:
CHRISTOPHER BAITON BALAMA       ALLY RAMADHANI
JOSEPH KAMUGISHA            DOUGLAS BASHOBEZA

Kuanzia tarehe 04/07/2011:       KUTEULIWA
Kuwa Mhandisi Mwandamizi I:      Kuanzia tarehe 18/04/2011:
WINSTON DENNIS MWESIGA         Kuwa Director of Minerals Production
AMINI ELISANTE             and Export Monitoring:
                    LIBERATUS CHIZUZU
Kuwa Afisa Mazingira I:
ZABIBU ANDREW NAPACHO         Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka
ABEL MALULU              (iaendelea tazama ukurasa wa 11):

Page 2
Download full gazette PDF