A Laws.Africa project
9 March 2012

Tanzania Government Gazette dated 2012-03-09 number 10

Download PDF (5.4 KB)
Coverpage:
                              ISSN 0856-0323

 MWAKA WA 93                      9 Machi, 2012


 TOLEO NA. 10       GAZETI
               LA
        JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

     Linatolewa kwa idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama Gazeti

                     YALIYOMO
    Taarifa ya Kawaida      Uk.       Taarifa ya Kawaida       Uk.

Kuajiriwa na  Kukabidhiwa 77  Kupotea kwa Barua ya Toleo.Na.243         84
Madaraka…………..…..Na.217
Notice          re 78 Taarifa ya Kuhawilisha Ardhi ya          85
Supplement…………….Na.218      Kijiji…………………………..Na.244-5
In the Court of Appeal of 78/ Sheria ya Utwaaji wa Ardhi…Na.246          85
Tanzania         at 9
Iringa……….Na.219
Kupotea kwa Hati za Kumiliki 80/ Uthibitisho  na  Usimamiaji wa        86
Ardhi………………..….Na.220-    4  Mirathi……………..Na.247-8
40
Kupotea  kwa  Leseni  za 84  Deed   Poll  on  Change  of        86/8
Makazi………………....Na.241-2     Name…………………….…Na.249-53
       KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA

TAARIFA YA KAWAIDA NA.217
                      Kuanzia tarehe 06/04/2010:
Ofisi ya Makamu wa Rais:          Kuwa Afisa Wanyamapori Daraja la
                      II:
Kuanzia tarehe 06/04/2010:         THOMAS J. CHALI
Kuwa Afisa Sheria Daraja la II:
HERI L. KAYINGA               Kuwa Afisa Mifugo Daraja la II:
                      MAKURU J. NYAROBI
Kuwa Katibu Mahsusi Daraja la III:
SARA O. CHANDE               Kuwa Mkemia Daraja la II:
                      ZAINAB P. KUHANWA
Kuwa Afisa Utafiti Kilimo Daraja la II:
DONATA D. KEMIREMBE             Kuwa Afisa Mipangomiji Daraja la II:
                      ISSA M. NYASHILU
Kuanzia tarehe 08/04/2010:
Kuwa Mhandisi Daraja la II:         Kuanzia tarehe 23/03/2010:
ALPHONCE L. BIKULAMCHI           Kuwa Mhasibu Daraja la II:
                      HILDA L. QORRO
                      Kuajiriwa na Kukabidhiwa
                      Madaraka (inaendelea tazama
                      ukurasa wa 88)


(Download complete gazette PDF)