A Laws.Africa project
13 April 2012

Tanzania Government Gazette dated 2012-04-13 number 15

Download PDF (5.2 KB)
Coverpage:
                           ISSN 0856-0323

 MWAKA WA 93                   13 Aprili, 2012


 TOLEO NA. 15      GAZETI
              LA
        JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

      Linatolewa kwa idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama
                    Gazeti

                 YALIYOMO
    Taarifa ya Kawaida   Uk.        Taarifa ya Kawaida    Uk.

Kuajiriwa na  Kukabidhiwa 13    Kupotea kwa Barua ya Toleo ya 16
Madaraka…………..…..Na.339       Kumiliki Ardhi………….Na.346
Notice          re 14   Designation of Land for Investment 16/21
Supplement…………….Na.340        Purposes……….Na.347-59
Tanzia……………………………. 14/        Uthibitisho wa Mirathi………Na.360-2 21
               5
Kupotea kwa Hati za Kumiliki 15   Deed Poll  on    Change   of 22/4
Ardhi………………….Na.341-2        Name….Na.363-5
Kupotea  kwa  Leseni  za 15/
Makazi………………..Na.343-5 6
     KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA.339      Kuanzia tarehe 22/07/2003;
                   BIBI JIRABI MASIGE
 Ofisi ya Rais,Tume ya Utumishi wa
        Umma:           Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa
                         Morogoro;
Kuanzia tarehe 24/11/2003:
Kuwa Mhasibu Daraja la iiI:     Kuanzia tarehe 13/12/2011;
BIBI AVODIA D. RUKONGE        Kuwa Afisa Muuguzi Msaidizi Daraja
                   la II;
Kuanzia tarehe 22/07/2003;      SARAH J. MOLLEL
Kuwa Mhasibu Daraja la iI:
BW.HASSAN M. ISAKA          Kuajiriwa   na  Kukabidhiwa
                   Madaraka  (inaendelea tazama
Kuanzia tarehe 28/10/2003;      ukurasa wa 23)
Kuwa Mchambuzi wa Mifumo    ya
Kompyuta Daraja la II;
BW.AHMADI KARUME


(Download complete gazette PDF)