A Laws.Africa project
27 April 2012

Tanzania Government Gazette dated 2012-04-27 number 17

Download PDF (5.4 KB)
Coverpage:
                           ISSN 0856-0323

 MWAKA WA 93                   27 Aprili, 2012


 TOLEO NA. 17      GAZETI
              LA
        JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

      Linatolewa kwa idhini ya Serikali na Kuandikishwa Posta kama
                    Gazeti

                  YALIYOMO
    Taarifa ya Kawaida    Uk.       Taarifa ya Kawaida     Uk.

Kuajiriwa  na  Kukabidhiwa 41   Taarifa ya Kuhawilisha Ardhi ya 45
Madaraka…………..…..Na.382        Kijiji………………Na.390
Notice re Supplement….Na.383 42    Designation of Land for Investment 46
                   Purposes……………………Na.391
In the Court of Appeal of 42/     Probate and Administration…Na.392 46
Tanzania at Mwanza….Na.384    4
Kupotea kwa Hati za Kumiliki 44/ Deed      Poll  on  Change   of 46/7
Ardhi ………………Na.385-7       5  Name…………………………..Na.393
Kupotea   kwa  Leseni  za 45   Inventory     of    Unclaimed 47/9
Makazi………………..Na.388-9        Property………………………..Na.394
        KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA.311
                    Kuanzia tarehe 05/06/2010;
    KUTHIBITISHWA KAZINI      Kuwa Afisa Ustawi wa Jamii Daraja
                    la II;
 Ofisi ya Rais-Tume ya Utumishi wa BI.PHILIPINA B. KAGARUKI
        Umma:
                    Kuanzia tarehe 22/06/2010;
Kuanzia tarehe 25/05/2011;       Kuwa Mhasibu Msaidizi;
Kuwa Msaidizi wa Maktaba Daraja la I; BWANA ELTON MSINDAI
FLORENCE D. KAZUVA
                    Kuanzia tarehe 25/11/1981;
Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii:   Kuwa Fundi Sanifu Msaidizi II;
                    BWANA NIAEL A. MGONJA
Kuanzia tarehe 17/06/1990;
Kuwa Katibu Mahsusi Daraja la I;    Kuajiriwa    na  Kukabidhiwa
MARGRET F. KAJI            Madaraka   (inaendelea  tazama
                    ukurasa wa 49)
Kuanzia tarehe 18/03/2006;
Kuwa Afisa Ustawi wa Jamii
Bibi Elinune Nsemwa


(Download complete gazette PDF)