A Laws.Africa project
18 January 2013

Tanzania Government Gazette dated 2013-01-18 number 3

Download PDF (127.4 KB)
Page 1
                                                                          —!
                                                          ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 94                                                   18 Januari, 2013

TOLEO NA.3                  GAZETI -
BEI SH. 300/=                                              DAR ES SALAAM

                JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                  ,             —Sa
                           Linatolewa kwa Idhini ya Serikalina
                             Kuandikishwa Posta kama
                    e             Gazeti
                      Taarifa ya Kawaida Uk.                        Taarifa ya Kawaida_ Uk.

Notice re Supplement cncsscssscsisssisscsssseisevceesctanes Na.23  31  Kupotelewaria Chetl sispsssessssscssnsvisenennsonssrazenese Na. 29  35
TTANZAA conse sossenseasssdasansousasessavnquiacecesseastus     31  Perfect Consumercare Ltd 0... .ceseseseeseeeenees Na. 30       35
Kupotea kwaHati za Kumiliki Ardhi............. Na. 24-6       34  Makampuni yaliyobadilisha Majina....... Na.31-55          35/8
Kupotea kwa Barua ya Toleo«0.0.2... Na.27              34  Maombi ya Vibali vya Kutumia Maji............ Na. 56 39/52
Designation of Land for Investment                    Uthibitisho na Usimamiaji wa Mirathi .......... Na. 57        $2
  Purposesisssssassinssainneceiousaenan aaa Na.28         35  Inventory of Unclaimed Property ...............+ Na. 58       52


TAARIFA YA KAWAIDA Na. 23                          Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
                                     Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Asinta Fulko Haule
  Notice is hereby given that Orders as set out below          aliyekuwa mtumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Songea
have been issued and are published in Subsidiary             kilichotokea tarehe 19.10.2011.
Legislation Supplement No. 2 dated 18" January, 2013 to
this number of the Gazette:-
                                      Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Order under the Urban Planing Act (Government. Notice          Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Said M. Mrindoko
  No. 6 of2013).                            aliyekuwa mtumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Moshi
                                     kilichotokea tarehe 06.09.2011.
Order under the Executive Agencies Act (Government
  Notice No. 7 of 2013).
                                      Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
               TANZIA                   Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Eng. Alphonce J.
                                     Mchomealiyekuwa mtumishi wa Ofisi ya Halmashauri ya
                                     Mji wa Babati kilichotokea tarehe 29.09.2011.
  Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Phinihas
O. Mugondoaliyekuwa mtumishi wa Ofisi ya Mkuu wa              Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Mkoawa MtwaraLindi kilichotokea tarehe 01.09.2011.            Tanzania anasikitika kutangaza kifo cha Bibi Thamina

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais —Menejimenti ya Utumishi wa
      Umma, S.L.P. 2483, Dar es Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                Limepigwa Chapana Mpigachapa Mkuuwa Serikali, Dar es Salaam —Tanzania

Page 2
Download full gazette PDF