A Laws.Africa project
8 March 2013

Tanzania Government Gazette dated 2013-03-08 number 10

Download PDF (194.3 KB)
Coverpage:
                                                          ISSN 0856 - 0323
                     GAZETI
MWAKA WA 94                                               ’      8 Machi, 2013

TOLEO NA. 10

BEI SH. 300/=                                                DAR ES SALAAM

               JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                              ———_O-——_——_
                          Linatolewa kwa Idhini ya Serikalina
                            Kuandikishwa Posta kama
                                    Gazeti                             YALIYOMO

                    Taarifa ya Kawaida Uk.                          Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka........... Na.l65         9    Kupotea kwa Leseni ya Makazi...................Na.174"   12
Notice.re Supplement iescssccscsssescessiveseseiseteavesss Na. 166 10    Kupotea kwa Barua ya Toleo ........ccceeeees Na.175     13
TaniZlassccsscans                  sores LO/LI       Maombiya Vibali vya Kutumia Maji............ Na.176    13/4
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi.... Na. 167-73 11/2            Makampuni yaliyobadili Jina .................Na. 177-205  15/8
                                       Change ofNameby Deed Poll.................... Na. 206-7   18           KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA Na. 165
                                           Wizara ya Maendeleoya Mifugo na Uvtvi:
  Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto:
                                       Kuwa Mkemia If:-
                                         Kuanzia tarehe 07/02/2013:-
Kuwa Mchumi Daraja la II--
                                            ELINJIWANZA JULIUS MSHIU.
  Kuanzia tarehe 15/]2/2003:-
    Joyce BENEDICT HAULE.
                                      .Kuwa Mchumi Il:-
 Wizara ya Mamboya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:               Kuanzia tarehe 11/02/2013:-
                                            Francis LAURENT MAKUSARO.

Kuwa Afisa Mambo ya Nje Daraja la H:-
  Kuanzia tarehe 09/02/2004 :-                       Kuwa Katibu Mahsusi Daraja la III:-
     MasoupD ABDALLAH BALOZI.
                                         Kuanzia terehe 15/02/2013:-
                                           EVASTER EUSTACE KAMUGUNGA.

Kuwa Human Resource Officer Grade I:-
  Kuanzia tarehe 21/0 1/2013:-                       Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka — (inaendelea
                                       tazama Ukurasa wa 19):
     ELIZABETH KOMBA. Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikatabaya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwakatika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais ~Menejimenti ya Utumishi wa
   Umma, S.L.P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4, Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

               Limepigwa Chapa na Mpigachapa MkuuwaSerikali, Dar es Salaam —Tanzania


(Download complete gazette PDF)