A Laws.Africa project
22 March 2013

Tanzania Government Gazette dated 2013-03-22 number 12

Download PDF (206.2 KB)
Page 1
                                                        ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 94                                                  22 Machi, 2013

TOLEO NA. 12            GAZETI
BEL SH. 300/=                                            DAR ES SALAAM

             JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                          ——                      Linatolewa kwaIdhini ya Serikalina
                         Kuandikishwa Posta kama
                             Gazeti                         YALIYOMO

                 Taarifa ya Kawaida Uk.                           Taarifa ya Kawaida Uk.

Notice re Supplement... esssscsseeeseeseeseeenees Na.229 31   PURPOSOS). ccsnescxsecsussesewoccuaseccosrpawesasusonsceaonentaes Na.240  34
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi....... Na. 230-5 31/2    Business Registration and Licensing
Kupotea kwa Barua ya Toleo wc cee Na. 236        933   ASGne}issssunesingeonmaennrannannces Na.241                34
Kupotea kwa Leseni za Makazi .........-.-. Na.237-8   33  Makampuni Yanayotarajiwa Kufutwa
Maombi ya Kumiliki Ardhi....... cece Na.239       33   katika Daftari la Makampuni ...... ee Na. 242-3              34
Designation of Land for Investment               Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi .......... Na.244            35


TAARIFA YA KAWAIDA Na, 229
                                TAARIFA YA KAWalba Na, 230
  Notice is hereby given that Order, Rules. Instrument of
‘Transfer and a Notice as set out below, have been issued       KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKIARDHE
and are published in Subsidiary Legislation                Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi
Supplement No. 11 dated 22™ March, 2013 to this number                (Sura 334)
of the Gazetie:-
                                 Hati Nambari: 69334,
Order underthe Interpretation of Laws Act (Government       Mmiliki aliyeandikishwa: Gregory CHARLES NHAGALA
  Notice No. 63 of 2015).                   LUGAILA.
                                 Ardhi: Na. “238” Kitalu ‘14’ Bunju, Kinondoni
Instrument of Transferthe Treasury Registrar (Powers and    Municipality.
  Functions) Act (Government Notice No. 63 of 2013).       Muombaji: GREGORY CHARLES NHAGALA LUGAILA.

 Rules underthe Electricity Act (Government Notice No. 64     Taarira IMETOLEWA kwamba Hati ya kumiliki ardhi
  of2013).       ~          .        iliyotajwa hapo juu imepotea na ninakusudia kutoa Hati
                                mpya badala yake iwapo hakuna kipingamizi kwa muda wa
 Notice under the News Papers Act (Government Notice      mwezi mmoja tokea tarehe yataarifa hii itakapotangazwa
  No. 65 of2013).                      katika Gazeti la Serikali.


 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais —Menejimenti ya Utumishi wa
    Umma, S.L.P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

             Limepigwa Chapa na Mpigachapa MkuuwaSerikali. Dar es Salaam —Tanzania

Page 2
Download full gazette PDF