ISSN 0856 - 0323 MWAKA WA 94 13 Septemba, 2013 TOLEO NA. 37 GAZETI BEI SH. 1000/= DAR ES SALAAM JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA ¢) Linatolewa kwa Idhini ya Serikalina Kuandikishwa Posta kama Gazeti YALIYOMO Taarifa ya Kawaida Uk. Taarifa'a Kawaida Uk. Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka............ Na.821 17 Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki Notice re Supplement vo. Na. 822 18 ATO ceseasenrsceseneencurmeeumsecavedeeccseum ero Na. 831-2 22/3 Kupotea kwa Leseni za MakaZi ......cccceee Na. 833-6 23 TANZIG ooo eececcecceeeeeseseseseseeeeeenerenseeasarecseecessrsereeesanaeseents 18/21 Uthibitisho na Usimamiaji wa Mirathi ........... Na.837 24 Kupotea kwa Mati za Kumiliki Ardhi..... Na. 826-30 21/2 Windfing Up ofthe Companies........0.... Na, 838-9 24 KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA TAARIFA YA KAWAIDA Na. 821 Idara ya Uhamiaji: KUPANDISHWACHEO Kuwa Koplo wa Uhamiaji:- Kuanzia tarehe 14/04/2010:- Wizara ya Mamboya Nehi: ARNOLD THOMAS MNGULI. Kuwa Mrakibu Mwandamizi wa Polisi:- Ofisi ya Kamishna Jenerali Jeshila Zimamoto na Kuanzia tarehe 02/04/2013:- Uokoaji: SatuM R. HAMDUNI. KuwaAskari wa Zimamoto na Uokoaji:- KUAJIRIWA Kuanzia tarehe 17/04/2010:- KuwaAfisa Uhamiaji Daraja la HI:- Hassan H. MbuLu. Kuanzia tarehe 08/02/2008:- MicnAcEL MAGAMBO. RASHID KHAMIS OMAR. Evance J. BRazio, Harry B. KABELELO. Kuwa Msaidizi wa Hesabu:- Kuanzia tarehe 01/07/2006:- Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka — (inaendeleu FAuUSTINE NGAKONGWA MTETEGUMU. tazama Ukurasa wa 25):- Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa kwa umma yaweza kuchapishwakatika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais -Menejimenti ya Utumishi wa Umma, S.L.P. 2483, Dar es Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma. Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu waSerikali, Dar es Salaam — Tanzania