A Laws.Africa project
11 March 2016

Tanzania Government Gazette dated 2016-03-11 number 11

Download PDF (5.5 MB)
Coverpage:
                                                           ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA97                                                      11 Machi, 2016

TOLEO NA.11                   GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                               DAR ES SALAAM

                 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                  —0O-——_
                             Linatolewa kwa Idhini ya Serikalina
                                 Kuandikishwa Posta kama
                                     Gazeti                                 YALIYOMO

                  Taarifa ya Kawaida Uk.                             Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement........... eee eeeeeeeeeeees Na.339 11            Uteuzi wa Mjumbe waBaraza laArdhina
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ........ Na. 340-3 11/2             Nyumbala Wilaya ya Tanga.......... eee Na.351      14
Kupotea wa Leseni ya MakaZi «0... eee Na. 344-6 12/3               Makampuni Yaliyobadilisha Majina.......... Na. 352-5 14/5
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki                      Architects and Quantity Surveyors           .
 ALi o.ecesescesseseeseseeseeseseesesneeeseeneceeseneeeeneesenes Na. 347-9 13/4  Registration Board oo... cceeeeseteeeeeeeeees Na.356  15
Ilani ya Kuhamisha Jina la Mmiliki wa                       Change ofNameby DeedPoll ................. Na. 357-62 30/3
 Kipande cha Ardhi .........eeeeeeeeseereeseneeeeens Na.350        14  Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi ............. Na.363 33


                                         Notice under the Energy and Water Utilities Regulatory
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 339
                                           Authority (The Inquiry on the Application for tariff
                                           Adjustment by Tanzania Electric Supply Company Ltd
  Notice is hereby given that Rules, Regulations, Notice
                                          - (Tanesco) 2016 (GovernmentNotice No. 94 of 2016).
and Kanuni as set out below have been issued and are
published in Subsidiary Legislation Supplement No. 10               Kanuni za Uchaguzi za Barazala Taifa la Mashirika yasiyo
dated 11" March, 2016 to this number of the Gazette:-                ya Kiserikali, 2016 (Tangazo la Serikali Na. 95 la mwaka
                                           2016).
Rules under the Local Authorities (Elections) (Designation
  of Districts Courts) 2016 (GovernmentNotice No. 91 of             TAARIFA YA KAWAIDA NA. 340
  2016).
                                            KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI
Regulations under the Non-Governmental Organisations                    Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi
  (The National Council Operational) 2016 (Government                        (Sura 334)
  Notice No. 92 of2016).
                                           Hati Nambari: 32499.
Notice under the Tanzania Communicatins Regulatory                  Mmiliki aliyeandikishwa: WaANKURU MaARwaA Maswl.
  Authoruty (Publicatin of Postcodes List and Directories)             Ardhi: Kiwanja No. 8 Block 36, Kariakoo Dares Salaam
  2016 (GovernmentNotice No. 93 of2016).                     City.
                                           Muombaji: WANKURU Marwa Maswi.

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa ummayaweza kuchapishwakatika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais -Menejimenti ya Utumishi wa
      Umma, S.L.P. 2483, Dares Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                 Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu waSerikali, Dar es Salaam — Tanzania


(Download complete gazette PDF)