A Laws.Africa project
9 March 2018

Tanzania Government Gazette dated 2018-03-09 number 10

Download PDF (124.0 KB)
Coverpage:
                                                                 ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 99                                                            9 Machi, 2018

TOLEO NA. 10                GAZETI
BEI SH. 1,000/=                              LA                     DAR ES SALAAM

                JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                       O
                           Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                             Kuandikishwa Posta kama
                                  Gazeti


                               YALIYOMO

                        Taarifa ya Kawaida Uk.                               Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ............................... Na. 332 23/5         Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati za Kugawa
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi .... Na. 333-5            25    Ardhi ......................................................... Na. 350 29/30
Kupotea kwa Leseni ya Makazi ............ Na. 336-8 25/6             Designation of Land for Investment
Kupotea/Kuungua kwa Lesei ya                            Purposes ............................................... Na. 351-5 30/2
 Makazi ................................................. Na. 339-43 26/7     Police Report ............................................. Na. 356     32
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki                      Ubatilisho wa Haki ya Kumiliki
 Ardhi ..................................................... Na. 344-6 27/8    Ardhi ..................................................Na. 357-401 32/8
Kusudio la Kutoa Hati Miliki ................... Na. 347         28    Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi ........ Na. 402            38
Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Ubunge . Na. 348              28    Deed Poll on Change of Name ............... Na. 403-5 38/9
Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa                           Inventory of Unclaimed Property ......... Na. 406-9 39/57
 Madiwani .................................................. Na. 349 28/9


TAARIFA YA KAWAIDA NA. 332                            Regulations under the Urban Planning (Constitution and
                                           Proceeding of Joint Area Planning Committee)
  Notice is hereby given that Regulations, Orders, Sheria              (Government Notice No. 81 of 2018).
Ndogo, Kanuni za Kudumu and Rules as set out below,
have been issued and are published in Subsidiary                 Regulations under the Urban Planning (Appeals)
Legislation Supplement No. 9 dated 9th March, 2018 to                (Government Notice No. 82 of 2018).
this number of the Gazette:-
                                         Regulations under the Urban Planning (Fees)
Regulations under the Urban Planning (Amendment and                 (Government Notice No. 83 of 2018).
  Modification of Planning Schemes) (Government
  Notice No. 79 of 2018).                            Regulations under the Urban Planning (Application for
                                           Planning Consent) (Government Notice No. 84 of
Regulations under the Urban Planning (Building)                   2018).
  (Government Notice No. 80 of 2018).

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
    Umma, S.L.P. 2483, Dar es Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dar es Salaam --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)