A Laws.Africa project
18 May 2018

Tanzania Government Gazette dated 2018-05-18 number 20

Download PDF (101.5 KB)
Coverpage:
                                                               ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 99                                                           18 Mei, 2018

TOLEO NA. 20                GAZETI
BEI SH. 1,000/=                             LA                    DAR ES SALAAM

                JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                       O
                           Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                             Kuandikishwa Posta kama
                                 Gazeti


                               YALIYOMO

                         Taarifa ya Kawaida Uk.                            Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka ......... Na. 743           25    List of Environmental Experts Certified
Notice re Supplement .................................. Na. 744     26    and Registered by the Council ............... Na. 757 29/35
Tanzia ............................................................ Na. 26    Orodha ya Wataalamu wa Bodi ya Wataalamu
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi ..... Na. 745-9 26/7              wa Ununuzi na Ugavi Waliosajiliwa ....... Na. 758 35/41
Kupotea kwa Leseni ya Makazi .................. Na. 750         27    Resolutions ........................................... Na. 759-60  42
Kufutwa kwa Leseni ya Makazi ................... Na. 751        27    Winding Up ................................................ Na. 761 42/3
Kusudio la Kuondoa Umiliki ...................... Na. 752        28    Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi .. Na. 762-4 43/4
Appointment of Authorized Officer ..... Na. 753-6 28/9              Deed Poll on Change of Name ............. Na. 765-8 44/5


               KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 743                            Kuwa Afisa Tawala Daraja la II kuanzia tarehe 01/07/
                                         2017
 OFISI YA RAIS MENEJINENTI YA UTUMISHI WA                    JAFARI Z. KALAGHE
      UMMA NA UTAWALA BORA                         TUNURA R. AMANI
                                         Kuwa Mtunza Kumbukumbu Msaidizi kuanzia tarehe
Kuwa Mkurugenzi Msaidizi kuanzia tarehe 9/12/2015                01/07/2017
BW. PETER MHIMBA                                 EDWIN M. KANJU
Kuwa Mkurugenzi Msaidizi kuanzia tarehe 11/08/2016                Kuwa Mkurugenzi Msaidizi kuanzia tarehe 01/08/2017
BIBI SAKINA MWINYIMKUU                              BW. PETER BUNYANZU
Kuwa Mkurugenzi Msaidizi kuanzia tarehe 10/10/2016                Kuwa Afisa Utumishi Daraja la II kuanzia tarehe 02/
BW. MUSSA JOSEPH                                 01/2018
Kuwa Mkurugenzi Msaidizi kuanzia tarehe 29/05/2017                HUZUNI J. CHOGA
BIBI PRISLA LWANGIRI                               SAID M. IYOMBE
Kuwa Mkurugenzi Msaidizi kuanzia tarehe 01/07/2017
BW. ALPHA ZULLU                                 Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka - (inaendelea
                                         tazama Ukurasa wa 45):-

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
    Umma, S.L.P. 2483, Dar es Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dar es Salaam --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)