A Laws.Africa project
1 June 2018

Tanzania Government Gazette dated 2018-06-01 number 22

Download PDF (43.9 KB)
Coverpage:
                                                              ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 99                                                           1 Juni, 2018

TOLEO NA. 22                 GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                LA                 DAR ES SALAAM

                 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                        O
                            Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                              Kuandikishwa Posta kama
                                  Gazeti


                                YALIYOMO

                      Taarifa ya Kawaida      Uk.                      Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ................................. Na. 792       1    Kampuni Zilizobadilisha Majina katika
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi ....... Na. 793-7           2/3     Daftari la Makampuni .............................. Na. 803-4 5
Kutangaza Matokeo ya Uchaguzi Mdogo                         Kampuni Inayotarajiwa Kufutwa katika
 wa Madiwani ............................................... Na. 798   3     Daftari la Makampuni .................................. Na. 805 5
Kutangaza Matokeo ya Uchaguzi Mdogo                         Maombi ya Vibali vya Kutumia Maji ............ Na. 806 5/8
 wa Ubunge ................................................... Na. 799  3/4    Deed Poll on Change of Name ..................... Na. 807 8
Appointment of Authorized Officer ........ Na. 800-2           4/5

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 792                             Rules under the Judicature and Application of Laws Act
                                            (Government Notice No. 247 of 2018).
  Notice is hereby given that Sheria Ndogo, Rules,
Orders and Notice as set out below, have been issued and              Orders under the Water Works (Declaration of Water
are published in Subsidiary Legislation Supplement                   Supply Areas) (Amendment) (Government Notice
No. 20 dated 01 st June, 2018 to this number of the                  No. 248 of 2018).
Gazette:-
                                          Notice under the Notification for the Application of Plan
Sheria Ndogo za (Kodi ya Majengo) za Halmashauri ya                  Breeders’ Rights for Blueberry Variety Ventura
  Wilaya ya Mafia (Tangazo la Serikali Na. 244 la mwaka                (Government Notice No. 249 of 2018).
  2018).
                                          Notice under the Water Supply and Sanitation (Mbeya
Sheria Ndogo za (Ada na Maegesho) za Halmashauri ya
                                            Urban Water Supply and Sanitation Authority)
  Wilaya ya Kigoma (Tangazo la Serikali Na. 245 la
                                            Extension of Service Areas) (Government Notice No.
  mwaka 2018).
                                            250 of 2018).
Sheria Ndogo za (Ada ya Ushuru) za Halmashauri ya
  Wilaya ya Kigoma (Tangazo la Serikali Na. 246 la
  mwaka 2018).

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
    Umma, S.L.P. 2483, Dar es Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dar es Salaam --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)