A Laws.Africa project
8 June 2018

Tanzania Government Gazette dated 2018-06-08 number 23

Download PDF (59.8 KB)
Coverpage:
                                                           ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 99                                                        8 Juni, 2018

TOLEO NA. 23              GAZETI
BEI SH. 1,000/=                          LA                   DAR ES SALAAM

               JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                    O
                         Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                           Kuandikishwa Posta kama
                               Gazeti


                            YALIYOMO

                    Taarifa ya Kawaida Uk.                           Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ................................. Na. 808 9/10    Taarifa ya Kuhawilisha Ardhi ya Kijiji ........ Na. 816 11
Kupotea kwa Hati za Kumiliki Ardhi .... Na. 809-10 10           Appointment of Authorized Officer ........... Na. 817 12
Kufutwa kwa Leseni ya Makazi ................... Na. 811 10        Notice of Company Dossolution ............. Na. 818-9 12
Kupotea/Kuungua kwa Leseni ya Makazi ... Na. 812 10            Kufutwa kwa Usajili wa Chama cha
Kuhamisha Miliki ya Leseni ya Makazi ..... Na. 813 11            Wafanyakazi Tanzania (TAWU) ............... Na. 820-1 13
Kusudio la Kutoa Hati Miliki ..................... Na. 814 11       Kusajili Chama cha Wafanyakazi .............. Na. 822-3 13
Ilani ya Kuhamisha Jina la Mmiliki wa                   Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi .... Na. 824-5 14
 Kipande cha Ardhi ...................................... Na. 815 11    Deed Poll on Change of Name ............. Na. 826-32 14/6
                                      Inventory of Exhibit ..................................... Na. 833 17/8


TAARIFA YA KAWAIDA NA. 808                         Regulations under the National Water Investment Fund
                                       Regulations (Government Notice No. 253 of 2018).
  Notice is hereby given that Orders, Regulations, Sheria
Ndogo and Kanuni za Kudumu as set out below, have been           Sheria Ndogo za (Kodi ya Majengo) za Halmashauri ya
issued and are published in Subsidiary Legislation              Wilaya ya Muheza (Tangazo la Serikali Na. 254 la
Supplement No. 21 dated 08th June, 2018 to this number            mwaka 2018).
of the Gazette:-
                                      Kanuni za Kudumu za Halmashauri ya Wilaya ya Muheza
Order under the Insurance (Minimum Premium Rates)               (Tangazo la Serikali Na. 255 la mwaka 2018).
  (Government Notice No. 251 of 2018).                              ______

Order under the Executive Agencies (The Tanzania               Notice is hereby given that the following Bills to be
  Government Flight Agency) (Establishment)                Submitted to the National Assembly are Published in a
  (Amendme;nt) (Government Notice No. 252 of               Bill Supplement No. 2, 3. 4 and 5 dated 8th June, 2018 to
  2018).                                 this number of the Gazette:- Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
    Umma, S.L.P. 2483, Dar es Salaam, Simu za Ofisi 2118531/4. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

               Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dar es Salaam --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)