A Laws.Africa project
4 January 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-01-04 number 1

Download PDF (661.6 KB)
Coverpage:
                                                                ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                         4 Januari, 2019

TOLEO NA. 1                 GAZETI
BEI SH. 1,000/=                              LA                              DODOMA

                JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                     O
                           Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                             Kuandikishwa Posta kama
                                 Gazeti


                              YALIYOMO

                     Taarifa ya Kawaida Uk.                              Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ................................. Na. 01    1/2    Notice of Final Meeting and Dissolution Na. 11/12             4/5
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ...... Na. 02/05         2/3    Winding up ................................................. Na 13/14   5/6
Kupotea kwa Leseni ya Makazi ............... Na. 06/08       3/4
Kufutwa kwa Leseni ya Makazi ............... Na. 09         4     Notice of Closure/Strike off ..................... Na. 15/16         6
Designation of Land For Investment                       Deed Poll .................................................... Na. 17/18  6/7
 Purpose ................................................. Na. 10  4     Inventory of Unclaimed Property ............... Na. 19            7

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1
                                        Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Bukoba
  Notice is hereby given that Amri, Regulation, Order and           (“Bukoba WSSA”) (Ya Kurekebisha bei za Huduma za
Notice as set out below, have been issued and are                Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Government Notice
Published in Subsidiary Legislation Supplement No. 1 dated            No. 4 of 2019).
4th January, 2019 to this number of the Gazette:-
                                        Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira Mtwara
Amri ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira                (“Mtwara WSSA”) (Ya Kurekebisha bei za Huduma za
 Kahama (“Kahama WSSA”) (Ya kurekebisha bei za                 Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Government Notice
 Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira)                   No. 5 of 2019).
  (Government Notice No. 1of 2019).

Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira               Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
 Shinyanga (“Shinyanga WSSA”) (Ya Kurekebisha bei                Misungwi (“Misungwi WSSA”) (Ya Kurekebisha bei
 za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Gov-               za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira
 ernment Notice No. 2 of 2019).                         (Government Notice No. 6 of 2019).

Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira               Amri ya Mamlaka ya Maji Safi na Usafi wa Mazingira
 Kahama Shinyanga (“Kashwasa”) (Ya Kurekebisha bei               Musoma (“Musoma WSSA”) (Ya Kurekebisha bei za
 za Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira (Gov-               Huduma za Maji Safi na Usafi wa Mazingira
 ernment Notice No. 3 of 2019).                         (Government Notice No. 7 of 2019).
 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
  Umma, S.L.P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                 Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)