A Laws.Africa project
18 January 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-01-18 number 3

Download PDF (692.9 KB)
Coverpage:
                                                                        ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                                18 Januari, 2019

TOLEO NA. 3                   GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                    LA                                DODOMA

                  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                            O
                               Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                                 Kuandikishwa Posta kama
                                     Gazeti


                                   YALIYOMO

                        Taarifa ya Kawaida Uk.                                   Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka ................ Na. 38             25    Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Madiwani,
Notice re Supplement ........................................ Na. 39       26    2019 ................................................................... Na. 51 29/30
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ............ Na. 40-5 26/7               Matokeo ya Uchaguzi Mdogo wa Bunge,
Kupotea/Kuungua kwa Leseni ya Makazi ...... Na. 46                27     2019 .................................................................... Na. 52 . 30
Ilani ya Kufuta Umiliki wa Kipande cha                           Designation of Land for Investment
 Ardhi ................................................................ Na. 47 27/8    Purposes ...................................................... Na. 53-6 30/2
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Haki ya                           Special Resolution .......................................... Na. 57-8 32
 Kumiliki Ardhi .................................................... Na. 48 28      Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi ................ Na. 59 33
Uteuzi wa Wajumbe wa Kamati ya Uteuzi ....... Na. 49 28                  Deed Poll on Change of Name ....................... Na. 60-3 33/4
Taarifa ya Kuhawilisha Ardhi ya Kijiji .............. Na. 50 28              Inventory of Unclaimed Property ................ Na. 64-7 35/40


                 KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 38                                 THOMAS SIAGA THOMAS
                                              VICTORIA COSTANTINO MHAGAMA
WIZARAYA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO                          Kuwa Wathamini II kuanzia tarehe 01/01/2019
     - WAKALAWA MAJENGO                                ARISTIDES ALLOYS RWEBANGIRA
                                              IRENE ROBERT MARWA
Kuwa Mkadiriaji Ujenzi II kuanzia tarehe 01/01/2019
                                              LUCIA KISUDA JOHN
BARAKA ANDONGWISYE NGOTA
                                              MAGARA MUSA MGANGA
CHATHERINE FRANK MOSHA
                                              RAMADHAN ISSA SHAURI
FAITH KRANIEL KABUNGO
                                              SARA ALFRED MBEPO
FULKO MICHAEL HONGO
FURAHA ROGHATH MIRISHO
                                              Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka - (Inaendelea
INNOCENSIA CHARLES NGODE
                                              tazama Uk. wa 40):-
MANONI MGEMA MASOYA

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
   Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                    Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)