A Laws.Africa project
1 February 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-02-01 number 5

Download PDF (652.1 KB)
Coverpage:
                                                                       ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                               1 Februari, 2019

TOLEO NA. 5                    GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                      LA                             DODOMA

                   JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                             O
                                Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                                  Kuandikishwa Posta kama
                                      Gazeti


                                    YALIYOMO

                         Taarifa ya Kawaida Uk.                                  Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ...................................... Na. 102 1/2            Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Ardhi
Tanzia .............................................................................. 2    na Nyumba la Wilaya ................................... Na. 109       4
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ......... Na. 103-6 2/3                  Maombi ya Vibali vya Kutumia Maji .......... Na. 110-11 3/31
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Haki ya                             Winding Up ........................................................ Na. 112 31
 Kumiliki Ardhi ............................................. Na. 107-8 3/4          Deed Poll on Change of Name ........................ Na. 113 32
                                               Inventory of Unclaimed Property ............... Na. 114-5 32/4


TAARIFA YA KAWAIDA NA. 102                                  Rules under the Legal Aid (Remuneration of Advocates)
                                                (Government Notice No. 109 of 2019).
  Notice is hereby given that Rules, Orders, Amri and
Notice as set out below, have been issued and are                       Rules under the Judicature and Application of Laws
Published in Subsidiary Legislation Supplement No. 5 dated                   (Practice and Procedure in Cases involving Vulnerable
1st February, 2019 to this number of the Gazette:-                       Groups) (Government Notice No. 110 of 2019).

Court Rules under the Court Brokers and Process Servers                    Rules under the High Court Registries (Amendment)
 (Appointment, Remuneration and Disciplinary)                         (Government Notice No. 111 of 2019).
 (Amendment) (Government Notice No. 106 of 2019).
                                               Order under the High Court (Kigoma and Musoma
Rules under the High Court (Commercial Division)                        Registries Establishment) (Government Notice No. 112
 Procedure (Amendment) (Government Notice No. 107                       of 2019).
 of 2019).
                                               Order under the Value Added Tax (Exemption) Extension of
Rules under the Media Services (Defamation Proceedings)                     Pawaga Water Scheme to Four Villages of Mlenge)
 (Government Notice No. 108 of 2019).                             (M/S GNMS Contractors Ltd) (Government Notice No.
                                                113 of 2019).


 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
   Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                     Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)