A Laws.Africa project
1 March 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-03-01 number 9

Download PDF (725.2 KB)
Coverpage:
                                                                  ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                            1 Machi, 2019

TOLEO NA. 9                  GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                  LA                           DODOMA

                  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                          O
                             Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                               Kuandikishwa Posta kama
                                    Gazeti


                                 YALIYOMO

                       Taarifa ya Kawaida Uk.                               Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuthibitishwa Kazini ........................................ Na. 197 1        Special Resolution ........................................ Na. 208-9 4/5
Notice re Supplement ...................................... Na. 198 2         Maombi ya Vibali vya Kutumia Maji ............. Na. 210 5/10
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ...... Na. 199-204 2/3               Orodha ya Wataalamu wa Bodi ya
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki                         Ununuzi naUgavi Waliosajiliwa .................. Na. 211 10/4
 Ardhi ............................................................... Na. 205 3    Uthibitisho wa Usimamizi wa Mirathi ............ Na. 212 14
Winding Up of the Company ...................... Na. 206-7 3/4             Dead Poll on Change of Name .................... Na. 213-6 14/6
                                            Inventory of Unclaimed Property .............. Na. 217-9 16/20


                           KUTHIBITISHWA KAZINI
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 197                               NASSOR KHAMIS NASSOR
                                            Kuwa Afisa Tehama II kuanzia tarehe 08/09/2018
  OFISI YARAIS, MENEJIMENTI YAUTUMISHI WA                       SALUM SAIDI MOHAMED
   UMMA NA UTAWALA BORA - WAKALA WA                         OMARI JOHN KIGODI
 SERIKALI MTANDAO (e-GOVERNMENTAGENCY)                        INYANJE ANAMESE COHEN
                                            SHUKURU KASSIM KAWAGO
Kuwa Katibu Mahsusi III kuanzia tarehe 07/11/2015                   Kuwa Afisa Tehama II kuanzia tarehe 11/09/2018
NEEMA ENOCK NYAMBO                                   FELIX ASANTELI MAKUNDI
Kuwa Katibu Mahsusi III kuanzia tarehe 15/06/2016                   JACQUELINE MUSHI JACKSON
GETRUDE ALPHONCE SHIRIMA                                TIMOTHY JOHN NDUNGURU
Kuwa Afisa Tehama II kuanzia tarehe 07/09/2018                     DEWATY LENARD MALIGILA
VICTOR CLEMENCE MUSHI                                 RASHID RAMADHANI FUTTO
JOSEPH HERMAN SELUKA                                  LAMBERT PATRICK ALMASI
EMILIUS PATRIN MFURUKI                                 THOMAS FRANCIS MALLYA
FADHILI HABIB MVUNGI

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
   Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                   Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)