A Laws.Africa project
17 May 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-05-17 number 20

Download PDF (582.8 KB)
Coverpage:
                                                                   ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                               17 Mei, 2019

TOLEO NA. 20                  GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                   LA                            DODOMA

                  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                          O
                              Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                                Kuandikishwa Posta kama
                                    Gazeti


                                  YALIYOMO

                       Taarifa ya Kawaida Uk.                               Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ...................................... Na. 532 63/4         Makampuni ................................................ Na. 543-6 66/7
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi .......... Na. 533-5 64/5              Maombi ya Kuchapisha Taarifa ya Kawaida
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki                          Usajili wa Chama cha Wafanyakazi ............ Na. 547 67
 Ardhi ............................................................. Na. 536-7 65    Voluntary of Winding Up ................................ Na. 548 67
Kampuni Inayotarajiwa Kufutwa katika                          Business Registration/Licensing Agency ... Na. 549           67
 Daftari la Makampuni ............................... Na. 538-42 65/6          Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi ......... Na. 550-1 68
Kampuni Iliyofutwa katika Daftari la                          Inventory of Unclaimed Property .......... Na. 552-61 69/83

TAARIFA YA KAWAIDA NA. 532                               Order under the Urban Planning (Iringa District Council)
                                              (Tagamenda Planning Area) (Government Notice No.
  Notice is hereby given that Regulations and                       397 of 2019).
Orders as set out below, have been issued and are
published in Subsidiary Legislation Supplement No. 20                  Order under the Urban Planning (Iringa District Council)
dated 17th May, 2019 to this number of the Gazette:-                    (Nzihi and Kidamali Planning Area) (Government
                                              Notice No. 398 of 2019).
Regulations under the Environment Management
 (Prohibition of Plastic Carries Bags) (Government                   Order under the Urban Planning (Iringa District Council)
 Notice No. 394 of 2019).                                 (Ndiwili and Magulilwa Planning Area) (Government
                                              Notice No. 399 of 2019).
Order under the Urban Planning (Iringa District Council)
  (Kiwere and Mgera Planning Area) (Government                     Order under the Urban Planning (Iringa District Council)
  Notice No. 395 of 2019).                                (Mgama Planning Area) (Government Notice No. 400
                                              of 2019).
Order under the Urban Planning (Iringa District Council)
  (Wasa Planning Area) (Government Notice No. 396 of                  Order under the Urban Planning (Iringa District Council)
  2019).                                         (Magozi Planning Area) (Government Notice No. 401
                                              of 2019).
 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
   Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                   Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)