A Laws.Africa project
7 June 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-06-07 number 23

Download PDF (516.1 KB)
Coverpage:
                                                               ISSN 0856 - 0323
                    GAZETI
MWAKA WA 100                                                            7 Juni, 2019

TOLEO NA. 23

BEI SH. 1,000/=                             LA                              DODOMA

               JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                     O
                          Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                            Kuandikishwa Posta kama
                                Gazeti


                             YALIYOMO

                    Taarifa ya Kawaida Uk.                               Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ...................................... Na. 639 1    Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi .......... Na. 640-4 1/2          Ardhi ................................................................ Na. 649 4
Kupotea kwa Leseni ya Makazi .................. Na. 645-6      3    Notice of Transfer of Assets and Liabilities. Na. 650              4
Kufutwa kwa Leseni ya Makazi ...................... Na. 647     3    Kuitwa Shaurini Mdaiwa .................................. Na. 651        4
Ilani ya Kuhamisha Jina la Mmiliki wa                    Change of Name by Deed Poll ......................... Na. 652 5
 Kipande cha Ardhi ......................................... Na. 648 3    Inventory of Unclaimed Property ................ Na. 653-7 6/21


TANGAZO LA SERIKALI NA. 639                         Order under the Value Added Tax (Exemption) (Consultancy
                                        Services for Design, Management System (IFMS)
  Notice is hereby given that Regulations and Orders as            (M/S Soft Tech Consultant Ltd) (Government Notice
Set out below, have been issued and are published in              No. 452 of 2019).
Subsidiary Legislation Supplement No. 23 dated 7th June,
2019 to this number of the Gazette:-                     TAARIFA YA KAWAIDA NA. 640

Regulation under the Mining (Designated Minerals                  KUPOTEA KWA HATI YA KUMILIKI ARDHI
  Certification) (Governent Notice No. 449 of 2019).                  Sheria ya Uandikishaji wa Ardhi
                                                  (Sura 334)
Regulations under the Foreign Exchange (Bureau de
  Change) (Government Notice No. 450 of 2019).                 Hati Nambari: 34115.
                                        Mmiliki aliyeandikishwa: M OSES A MOS D ABANA
Order under the Excise (Management and Tariff)                (MSIMAMIZI WA MIRATHI YA AMOS PETER DABANA (MAREHEMU)
  (Remission) Upgrading of Mikumi Ifakara Road to              WA S. L. P. 71224, DAR ES SALAAM.

  Bituman Standard) (Kidato - Ifakara Section (66.9km)             Ardhi: Kiwanja Na. 101 Kitalu ‘C’ Mtoni Kijichi Jijini
  Including the Great Ruaha Bridge) (M/S Reynolds              Dar es Salaam.
  Construction Company (NIG LTD) (Government                  Muombaji: MOSES AMOS DABANA WA S. L. P. 46343, DAR
  Notice No. 451 of 2019).                         ES SAAAM.


 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
  Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.

                 Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)