A Laws.Africa project
5 July 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-07-05 number 27

Download PDF (151.9 KB)
Coverpage:
                                                                    ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                                5 Julai, 2019

TOLEO NA. 27                  GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                   LA                             DODOMA

                  JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                          O
                              Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                                Kuandikishwa Posta kama
                                    Gazeti


                                  YALIYOMO

                       Taarifa ya Kawaida Uk.                                 Taarifa ya Kawaida Uk.
Notice re Supplement ...................................... Na. 755 1/2         Special Resolution .............................................. Na. 763 4
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ........... Na. 756-7 2/3              Winding Up ........................................................ Na. 764 4/5
Kupotea kwa Leseni ya Makazi ................... Na. 758-9           3    Announcement for Closure of King Nyanda
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki                          Production Limited .......................................... Na. 765 5
 Ardhi ................................................................ Na. 760 3    Tangazo la Kufunga Kampuni ......................... Na. 766 5/6
Tangazo la Siku ya Uteuzi wa Wagombea                          Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi .............. Na. 767          6
 kwa Uchaguzi Mdogo wa Ubunge ................ Na. 761             4    Deed Poll on Change of Name ..................... Na. 768-9 6/7
Tangazo la Siku ya Upigaji Kura kwa                           Inventory of Unclaimed Property ............... Na. 770-1 7/14
 Uchaguzi Mdogo wa Ubunge ....................... Na. 762 4


TAARIFA YA KAWAIDA NA. 755                               Order under the Value Added Tax (Exemption)
                                              (Roads and Bridges Projects Funded by the
  Notice is hereby given that Orders and Proclamation as                 Government of United Republic of Tanzania)
Set out below, have been issued and are published in                    (Construction, Repair and Maintenance of Roads and
Subsidiary Legislation Supplement No. 27 dated 5th July,                  Bridges) (Tanzania National Roads Agency
2019 to this number of the Gazette:-                            (TANROADS)) (Government Notice No. 494 of 2019).

Order under the Value Added Tax (Exemption)                       Order under the Value Added Tax (Exemption)
  (Roads and Bridges Projects Funded by the                        (Enhancing the Competitiveness of small holder Rice
  Government of United Republic of Tanzania)                       Farmers in Morogoro) (M/S Aghakhan Foundation)
  (Construction, Repair and Maintenance of Roads and                   (Government Notice No. 495 of 2019).
  Bridges) (Tanzania National Roads Agency
  (TANROADS)) (Government Notice No. 493 of 2019).
 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
  Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.
                   Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)