A Laws.Africa project
11 October 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-10-11 number 42

Download PDF (465.3 KB)
Coverpage:
                                                                        ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                                11 Oktoba, 2019

TOLEO NA. 42                    GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                      LA                              DODOMA

                   JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                              O
                                Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                                  Kuandikishwa Posta kama
                                       Gazeti


                                     YALIYOMO

                         Taarifa ya Kawaida Uk.                                  Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka ......... Na. 1299 49                     Daftari la Makampuni ............................. Na. 1313-17 53/4
Notice re Supplement .................................... Na. 1300 50             Kampuni Iliyofutwa katika Daftari la
Tanzia .............................................................................. 50    Makampuni ................................................... Na. 1318 54
Appointment of Director General of                               Designation of Land for Investment
 Intelligence and Security Services ............ Na. 1301 50                  Purposes ..................................... ........................ 1319 54
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi ........ Na. 1302-8 50/2                  Special Resolution .................................... Na. 1320-25 54/6
Kupotea kwa Leseni ya Makazi ...................... Na. 1309 52                Tangazo la Kufunga Kampuni ...................... Na. 1326 56
Kupotea/Kuungua kwa Leseni ya Makazi . Na. 1310 52                       Maombi ya Vibali vya kutumia Maji ............ Na. 1327 56/90
Kupotea kwa Barua ya Toleo ya Kumiliki                             Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi .......... Na. 1328 90
 Ardhi .......................................................... Na. 1311-2 53        Change of Name by Deed Poll ................ Na. 1329-31 90/1
Kampuni Inayotarajiwa Kufutwa katika                              Inventory of Unclaimed Property ............. Na. 1332-3 92/4


                  KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1299                                  Kuwa Afisa Utumishi Mwandamizi kuanzia tarehe 01/11/
                                                2017
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA                          PENDO S. KULENG’WA
 MITAA(TAMISEMI) - OFISI YAMKUU WAMKOA                            Kuwa Msaidizi wa Kumbukumbu Mwandamizi kuanzia
          SIMIYU                                   tarehe 01/11/2017
                                                ELIZABETH NANGALI GELEGE
Kuwa Katibu Muhtasi III kuanzia tarehe 15/01/2016                       Kuwa Daktari Msaidizi Mwandamizi kuanzia tarehe 01/
ASANATH MOHAMED NIMWOBARUGA                                  11/2017
Kuwa Katibu Muhtasi III kuanzia tarehe 29/01/2016                       CHACHA MAGIGE NYABISAGA
WINFRIDA DAUDI KYANDO
Kuwa Afisa Kilimo Mkuu I kuanzia tarehe 01/11/2017                       Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka - (Inaendelea tazama
ELIAS MAHONA KASUKA                                      Ukurasa wa 94):-

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
  Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.
                     Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)