A Laws.Africa project
15 November 2019

Tanzania Government Gazette dated 2019-11-15 number 47

Download PDF (310.6 KB)
Coverpage:
                                                                ISSN 0856 - 0323
MWAKA WA 100                                                      15 Novemba, 2019

TOLEO NA. 47                 GAZETI
BEI SH. 1,000/=                                  LA                         DODOMA

                 JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
                                         O
                             Linatolewa kwa Idhini ya Serikali na
                               Kuandikishwa Posta kama
                                    Gazeti


                                 YALIYOMO

                      Taarifa ya Kawaida Uk.                             Taarifa ya Kawaida Uk.
Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka ....... Na. 1477              37    Appointment of Authorities Officer............ Na. 1487 41/2
Notice re Supplement .................................. Na. 1478 38/9         Kampuni Inayotarajiwa Kufutwa katika
Kupotea kwa Hati ya Kumiliki Ardhi .... Na. 1479-80 39/40               Daftari la Makampuni ................................. Na. 1488 42
Kupotea/Kuungua kwa Leseni ya                             Majina ya Wakaguzi wa Magari na
 Makazi ........................................................ Na. ...1481 40    Watahini wa Madereva .............................. Na. 1489  42
Ilani ya Kuhamisha Jina la Mmiliki wa                         Kufutwa kwa Ada ya Matumizi ya Maji
 Kipande cha Ardhi ....................................... Na. 1482     40    kwa Matumizi ya Visima Nyumbani ........... Na. 1490      43
Kusudio la Kumilikisha Kiwanja ................. Na. 1483 40/1            Maombi ya Vibali vya Kutumia Maji ....... Na. 1491-2 43/6
Kusudio la Kutoa Hati Miliki ....................... Na. 1484        41    Uthibitisho na Usimamizi wa Mirathi ...... Na. 1493-4 46
Uteuzi wa Wajumbe wa Baraza la Ardhi                         Change of Name by Deed Poll .................. Na. 1495-6 47
 na Nyumba la Wilaya ya Iramba, Tabora                        Inventory of Unclaimed Property ...... Na. 1497-1500 48/53
 Bukoba na Tanga .................................... Na. 1485-6 41


                KUAJIRIWA NA KUKABIDHIWA MADARAKA
TAARIFA YA KAWAIDA NA. 1477                              Kuwa Msaidizi wa Kumbukumbu kuanzia tarehe 08/02/
                                           2018
OFISI YA RAIS TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA                     BARAKA MBUGUNI MUHIDINI
MITAA(OR-TAMISEMI) - OFISI YAMKUU WAMKOA                       Kuwa Afisa Tarafa Daraja la II kuanzia tarehe 08/022/
        WAKILIMANJARO                             2018
                                           MISONGE GEOFREY SILANDA
Kuwa Msaidizi wa Kumbukumbu Daraja la II kuanzia                   Kuwa Afisa Tarafa Daraja la II kuanzia tarehe 12/02/
tarehe 05/02/2018                                   2018
HERIETH JUSTINIAN KAMUABWA                              KALUA SELEMANI MUHUNZI

                                           Kuajiriwa na Kukabidhiwa Madaraka - (Inaendelea
                                           tazama Ukurasa wa 54):-

 Matangazo yahusuyo mali za watu waliofariki, kuvunja mikataba ya ushirikiano na mengineyo, yakiwa ya manufaa
 kwa umma yaweza kuchapishwa katika Gazeti. Yapelekwe kwa Mhariri, Ofisi ya Rais --- Menejimenti ya Utumishi wa
  Umma, S. L. P. 670. 40404 Dodoma, Simu za Ofisi: +255(026)2963630. Kabla ya Jumamosi ya kila Juma.
                   Limepigwa Chapa na Mpigachapa Mkuu wa Serikali, Dodoma --- Tanzania


(Download complete gazette PDF)